Tusije pata minyoo, siyo?!Whatever, tutumie bei ya kitunguu kuacha kula kachumbari 🤣 🤣 🤣
Tusije pata minyoo, siyo?!Whatever, tutumie bei ya kitunguu kuacha kula kachumbari 🤣 🤣 🤣
Uyo muuzaji na risiti anatoa amaJana nimeuziwa apa kitaa kimoja 500 nilishangaa
Mvua zimezidi kiongoziInatokeaga hii
Kitungu tokea mwezi wa 12 kilianza kuadimika,watu wa mashambani wanajuwa kwanini?
Ova
Unatuumiza mbavu bwashee...hahahahahaHii nayo ni fursa ya kuacha kula kitunguu, mnataka kujua athari za kitunguu ?
View attachment 2918609