Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
Wasaalam wakuu,
Husika na title hapo juu. Kuna tafiti ndogo binafsi nafanya kuhusiana na supply and demand za kokoto nyeusi (black granite) za ujenzi.
Ningependa ushirikiano wenu kuhusu bei zake per cubic meter hapa Dar na gharama zake kuzitoa from plant mpaka eneo la site (hapa dar), if possible na bei za hawa wauzaji wadogo pia.
Bila kuhasau na zile ndogo kabsa za 5cm za kutengeneza paving blocks i.e. per cubic meter.
Wa mikoani karibuni pia.
Many Thanks.