Bei ya kondom ni kubwa mno zishushwe bei.

Bei ya kondom ni kubwa mno zishushwe bei.

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Ndugu zangu kulingana na hali zetu kiuchumi kuwa siyo nzuri, kuna mdau hapo chini amependekeza kushushwa kwa za kondom nchini, tunaziomba mamlaka husika zilifanyie kazi suala hili.

Ndugu zangu kulingana na hali zetu kiuchumi kuwa siyo nzuri, kuna mdau hapo chini amependekeza kushushwa kwa za kondom nchini, tunaziomba mamlaka husika zilifanyie kazi suala hili.

View attachment 3097613
Mbona wanagawa bure, nenda lorge zote na ofisi za vijiji na kata kuna masanduku ya condom, aina ya ZANA, tatzo uimara wake na usalama wake ndio sina uhakika nao.
 
Kituo gan zishukie

Na bei za kupeane zishuke nazo zimekuwa juu sana kama unanunua kitasa cha kanisa
 
Ukikuta wet hanna haja ya kupimana

Imekuwa oil ile.....pelekaenen moto mkiona kavu shikaneni ijae endelea na safari
More worries
More death
 
Back
Top Bottom