luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
ile research ya shamba la nyege utamuachia nani? Imalizie kwanzaMimi naamasha zangu popo naenda kwa Mugabe kuuza vidole
Yaani Chadema baada ya kupandisha Bei ya Petrol,vyakula,Sasa wamehamia Kwenye makalatasi!Sasa hivi bei ya ku print na photocopy zimepanda maradufu, wataalam wa stationary wanasema sababu kuu ni kupanda kwa bei ya rim paper za size ya A4, wanasema bei ya sasa ni almost 90 elfu Tsh, ambapo zamani ilikuwa ina range 35 elfu.
Na zipo fununu hawa watu wa stationary wanasema huyo supplier ni mmoja ndio analeta izo papers ...
Serikali itusaidie maana hali sio nzuri
Uchiteme wala uchimung'unye....
Iyo bei ni ya wapi ww ? Burundi au Tz hii ?....Ream paper moja ni Tsh 20,000/=
Huku kanda ya ziwa nimenunua 20,000 ream moja sio caton.Iyo bei ni ya wapi ww ? Burundi au Tz hii ?....
Mm jana nilikuwa na wadau wa stationary, ma wengi wakilalamika hakuna rim paper ..yaan bei ipo juu
Hadi kwako mkuu?Hali tete
Uko sahihi kabisa. Hatuna viongozi wazalendo. Wageni wanabebwa mpaka inakera. Hii nchi haiwezi kujengwa na wageni! Isipokuwa sisi wenyewe.Nilianzisha ka kiwanda cha kutengeneza karatasi za khaki kwa ku recycle na box used. Hizo hekaheka nilipokutana nazo kwenye namlaka siwezi kuzisahau, niliamua kuachana na miradi nikaenda kufanya biashara nyingine ambako nako nikipoteza kama milioni 30.
Hii nchi ina wapa favour wafanyabishara wakubwa au wakigeni na kuendekeza kuagiza vitu nje hata vile ambavyo vinawezekana kuzalishwa hapa nyumbani kupitia viwanda vidogo vidogo.
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Inawezekana ikawa kweli lakini wafanyabiashara wakubwa wanaweza kutumia hiyo vita Kama kisingizio kuzidi kujineemesha.
Ukraine vs Russia
Sawa mkuu notedile research ya shamba la nyege utamuachia nani? Imalizie kwanza