Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau naomba wanaojua bei au gharama za kutengeneza DVD ya nyimbo kuanzia shooting hadi production ya DVD au VCD inaweza kuwa shilling ngapi za kitanzania. Pia naomba na maelezo ya mchakato mzima hadi kusambaza video yenyewe kwa wauzaji
haujasema nyimbo aina gani so inaweza kuwa ngumu kupata bei maana Bongo Flava,n.k nitofauti na Gospel.Mimi ninakampuni yangu tunafanya video za Gospel,Film,etc sasa jijaelewa unataka kufungua kampuni yako au unataka kufanya kazi? kimsingi vyote hapo nimaelewano kutegemea na idadi.