Bei ya kuku wa kienyeji imekuwa juu sana

Bei ya kuku wa kienyeji imekuwa juu sana

Ulikuwa unachukulia wap boss wangu? Na ulikuwa unatumia usafiri gani kuleta huku mjini ni basi au?
Nilikuwa nachukua gairo kuna mtu niliunganishwa nae nikawa nampigia siku ya kwenda huko yeye ananiletea mzigo nausaminisha tunakubaliana bei naondoka nao na nilikuwa natumia malori yanayotoka njia ya dodoma kulekea moro nauli yake ni rafiki sana wanafanya kati ya 10k hadi 20k kutokana na idadi ya matenga ila mimi nilikuwa naishiaga msamvu kwani moro ndo lilipokuwaga soko langu ila now nipo dsm nataka niirejee hiyo mishe nkishaseti mambo yangu huku dsm
 
Kaka naomba tuwasiliane 0658569529 unipe mbinu na uzoefu wako katika hii biashara mimi pia nataka kuifanya
 
Kuna jamaangu mmoja yupo Dar juzikati akaniuliza kuhusu bei ya kuku Dodoma.nikamwambia sijui mana mm nipo mjini ngoja niulizie watu wa vijijini.

Nilivyouliza watu wa vijijini wakaniambia kuku mkubwa kabisa Tsh 7000 hadi 8000. Jamaa akaniomba nikamnunulie kuku 200 nikasema ngoja niende nikajifunze biashara ya kuku,Leo nimeenda mnadani na bodaboda nikakuta kuku bei juu kweli wanaaanzia 12000 jogoo mkubwa kabisa na kuku wa wastani 8000.

Nikaishia kununua kuku 100 Kwa wastani wa 9800 waliobaki nitaenda kununua kesho mnada mwingine. Wameniambia kuku huwa wanakuwa bei chee sana kuanzia mwezi wa 11.

Ila fursa zingine nilizoziona ni ununuzi wa mbuzi na ng'ombe wamasai wanapiga hela sana unakuta Dogo hana hata suruali anauza madume 20 ya ng'ombe.

View attachment 1809341View attachment 1809342View attachment 1809343View attachment 1809344View attachment 1809345View attachment 1809346View attachment 1809347View attachment 1809348View attachment 1809349
Hizo ndio bei juu? Mbona ni za kawaida siku zote?
 
Back
Top Bottom