Bei ya luku ishuke, viwanda vifufuliwe, wananchi wapikie majiko ya umeme kuzuia uharibifu wa mazingira

Bei ya luku ishuke, viwanda vifufuliwe, wananchi wapikie majiko ya umeme kuzuia uharibifu wa mazingira

Daah hawawezi kushusha na pia wanaongeza bei ya gesi kila kukicha usitegemee neema kwenye hilo mimi mara ya mwisho kutumia jiko la umeme ilikua home kwa wazazi miaka ya 90 huko sasa hivi majiko ya umeme nayaangalia kama ni kipuli cha Tractor CAT...
Halafu utaambiwa kuwa uko Uchumi wa kati,

Ikiwa wazazi wako walipikia jiko la umeme, wewe huwezi kulitumia sababu ya gharama,

Huo Uchumi imeongezeka au umeporomoka!!
 
Thread hii inakosa wachangiaji sababu watoto wa 2000 hawajui hata majiko ya umeme yanafananaje!!

Wakati miaka ya 90 tulipikia majiko ya umeme,

Tunakwenda mbele, au tunarudi nyuma?

CCM must go!!
Siyo kama hawajui wanajuwa ila hawajui maumivu tunayopata.

Mimi ni jiko kubwa la plate 4, plate tatu 3 gesi na plate 1 umeme, ila plate ya umeme haina kazi, na kuna kipindi walikuwa wanajichanya wanasha oven na jiko la umeme wifu ile button ya jiko la umeme kaifunga na solotape kabisa ili jiko la umeme lisitumike, sasa nini hiki?
 
Sie enzi hizo tulipikia maharage jiko la umeme.

Saizi una kipato Cha zaidi ya 1m lakini huwezi kupikia jiko la umeme,

Sasa uchumi wa kati tulioufikia ni upi sasa!!
 
Unazungumziwa umeme wa rufiji au???
Fu****n sisi emu.....wamefungua maji kuerekea kwa wananchi sahv mipunga ipo ndan ya maji
F*****n p***y viongozi wote
F**k mtu yyte anaipenda sisi emu
F**k 😡😡😡🤬
Mdogo angu ananiambia ufuta wake wake ushaenda na maji,baada ya mampambano tangu mwez wa kumi na mbili hadi sasa alitegemea mwez wa 6 apaate Tsh laki sita(yaani laki 6 kwa miez 6 lakin kapata hasara)
Mtu mweusi akili yake imefanana na taccel.
Bull***t
 
Pole ndugu,

Mashine zote zingekuwa zimefungwa na kuwashwa,

Bei za umeme zikashushwa, Uchumi ungechangamka Kwa kuongezeka matumizi ya umeme,

Pasingekuwa na haja ya kufungulia maji vile kuleta HASARA Kwa umma.

Serikali iwafidie kwakweli, maana yaliyotokea Si Kwa Bahati mbaya.
 
Halafu utaambiwa kuwa uko Uchumi wa kati,

Ikiwa wazazi wako walipikia jiko la umeme, wewe huwezi kulitumia sababu ya gharama,

Huo Uchumi imeongezeka au umeporomoka!!
Bill unapata laki na themanini mpaka laki mbili kabla ya Luku nilisema haya majiko unaweza kukorofishana na familia bure kumbe tatizo ni Tanesco bhana...uchumi umeyumba mkuu nina jiko la umeme plate mbili lipo kwa ajili ya Gesi ikikata usiku mchana nakimbizana kununua...
 
Uzalishaji wa umeme kupitia JNHP ni cheap,

Inatakiwa tunufaike na umeme wetu sababu tutalipa mikopo hiyo sisi Hawa Hawa.

Sasa ikiwa miaka ya 90 tulipikia majiko ya umeme tukiwa na mtera pekee, tushindweje ikiwa JNHP IPO?

Maendeleo ni kusonga mbele, Si kurudi nyuma!!

Tutafika tu!!
Mkuu ukitaka ujue hicho kitu hakiwezekani angalia bei ya Petrol inavyopanda na kiasi inachoshuka..inapanda Tsh 509 inashuka Tsh 80 wakati uwiano wa kupanda au kushuka kwa bei huko Opec inashabihiana...
 
Bill unapata laki na themanini mpaka laki mbili kabla ya Luku nilisema haya majiko unaweza kukorofishana na familia bure kumbe tatizo ni Tanesco bhana...uchumi umeyumba mkuu nina jiko la umeme plate mbili lipo kwa ajili ya Gesi ikikata usiku mchana nakimbizana kununua...
Viongozi wawe wazalendo,

Tanesco ishushe Bei za luku, tupikie majiko ya umeme,

Tufurahie uthubutu wa the late Magu kuanzisha ujenzi wa BWAWA la JNHP.
 
Salaam, Shalom.

Samahani Kwa waliozaliwa 2000+, Miaka ya 90 kurudi nyuma, yalikuwepo majiko ya umeme katika nyumba nyingi za watumishi wa umma, mapolisi, mahakimu, bankers, watoza ushauri, matajiri nk nk.

Matumizi ya majiko ya kutumia umeme, yalisaidia kupunguza matumizi ya mkaa, hivyo kuzuia uharibifu mkubwa wa mazingira na kupunguza matumizi ya mkaa na Kuni.

Hivi sasa, kaya nyingi zinatumika majiko ya Kuni na mkaa Kwa wingi,gesi kidogo.

Kwa kuwa nchi yetu imekopa matrilioni kujenga BWAWA la JNHP, na Kwa kuwa walipaji wa deni Hilo ni sisi wananchi, na Kwa kuwa majiko ya umeme Yana faida zaidi kimazingira, na Kwa kuwa Bei kubwa za luku ni chanzo kikubwa Cha kutotumika majiko ya umeme nchini Kwa wananchi wa kipato Cha chini,

Na Kwa kuwa, mradi wa REA kuunganisha vijiji Kwa huduma ya umeme umewafikia wengi, uwezekano wa kutumia umeme kupikia ni mkubwa zaidi Hadi vijijini.

Ninashauri Bei za luku zishushwe Ili wananchi waongeze matumizi ya umeme Kwa kupikia ili kuboresha na kutunza mazingira.

Kushushwa Bei za luku Kuna faida ZIFUATAZO;

1. Matumizi ya umeme yataongezeka na mapato pia yataongezeka hivyo kulisaidia shirika kujiendesha Kwa faida..

2. Serikali itaongeza ukusanyaji wa mapato Kwa ajili ya kulipa mikopo iliyotumika kujenga BWAWA la JNHP.

3. Matumizi makubwa ya umeme wa kupikia majumbani, itaongeza matumizi ya mitambo ya kufua umeme, hivyo kuondoa hatari ya kuchakaa na kiharibika mitambo Kwa kuzimwa mara Kwa mara.

4. Kupunguza gharama za umeme Kwa wananchi kutachagiza viwanda vidogo vidogo , viwanda vya kati na vikubwa kuoperate Kwa faida kubwa hivyo kuinuka Kwa kipato na mxunguko wa pesa, Uchumi utakua na export zitaongezeka.

5. Kupunguza gharama za umeme kutusaidia kuondoa mafuriko Kwa wakazi vijiji vinavyopakana na BWAWA la JNHP Kwa kuwa mashine za kuzalisha umeme zitatumika ipasavyo hivyo kupunguza zoezi la kumfungulia maji ya BWAWA Hilo.

HITIMISHO:

Kupungua Kwa gharama za umeme wa luku Kuna faida kubwa kiuchumi, Kijamii, kisiasa, kiafya, ninashauri Serikali yangu kuacha mawazo ya kuuza umeme nje ya Nchi, umeme upunguzwe Bei kufufua viwanda vidogo vidogo vya kati na vikubwa tupate faida za kiuchumi.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Amen

Karibuni🙏

Wacheni mchecheto umeme bado sana. Watu wanajenga nyumba na wanaweka air condition , friji za kuhifadhi vyakula , ujenzi na viwanda ambayo vilikuwa havina umeme mwaka kesho tu wataanza kusema umeme hautoshi tena
 
Hujasikia wanasema umeme ni mwingi,

Wengine tayari wanekwenda Uganda kutaka kuuza umeme huko, kwamba sisi tuna ziada ya nishati ya umeme
 
Wapo tayari kuzima mitambo alafu baadae waseme mitambo inahitaji service kwa kutofanya kazi mda mrefu.

Hii nchi adhabu ya viboko ni kwa viongozi na si watoto,

Tena 24, kumi na mbili akiambiwa kosa lake na vilivyobakia akirudishwa kazini.
Viongozi wengi ni matokeo ya wizi wa kura,

IPO siku tajiri muuza bangi, atakuwa uongozi wa juu kupitia RUSHWA.

Maandamano yaendelee, Ili Sanduku la kura liheshimiwe, tupate viongozi wenye AKILI timamu. Maana RUSHWA Huwa Ina TABIA ya kupofusha ufahamu.

Professor anaweza fanya maamuzi mabovu kuliko darasani la Saba sababu ya RUSHWA.
 
sasa kama matumizi ni machache na umeme unakata hivi je matumizi yakiongezeka si itakua hamna umeme kabisa
Kukatika Kwa Umeme ni uzembe na hujuma,

Hakuhusiani na kupungua Kwa Umeme, maana mabwawa yamekuwa yakifunguliwa kusudi Ili kutengeneza mgao Ili wahuni wauze mafuta na generators.

Tatizo la Nchi yetu ni viongozi wasipotokana na ridhaa ya wananchi.

Maandamano yaendelee, Hadi Sanduku la kura litakapoheshimiwa.
 
Ikiwa shs 5000 unapata units 14,

Tafsiri yake ni kuwa 1unit =sh 357.

Nashauri unit Moja ya luku ishuke Hadi sh 10per unit. Ukinunua umeme wa 5000 upate unit 500,

Hapo maskini ataweza kupikia jiko la umeme Hadi huko bush.
 
Back
Top Bottom