Alafu kuna wangese fulani humu kutwa kutetea upuuzi unaofanywa na serikali hiiHalafu tukisema Kikwete na Serikali yake DHAIFU anaingamiza nchi, watu wananuna!!
Alafu kuna wangese fulani humu kutwa kutetea upuuzi unaofanywa na serikali hii
madudu wanayofanya mkuu
Kauli ya Kikwete kipindi kile cha Escrow ilichangia sana sana kuporomosha thamani ya pesa yetu politicallyHalafu tukisema Kikwete na Serikali yake DHAIFU anaingamiza nchi, watu wananuna!!
Aisee......na ya malkia ipoje.........?...........
Alafu kuna wangese fulani humu kutwa kutetea upuuzi unaofanywa na serikali hii
madudu wanayofanya mkuu
1£ = 3200tsh