Bei ya madafu leo 2050 aibu BOT

Bei ya madafu leo 2050 aibu BOT

Fx Trader

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2014
Posts
488
Reaction score
186
We were told that the shilling will stabilise! Since Beno said that the shilling has depreciated by 40 shillings. BYR BYE CCM!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wenzao Russia walijitahidi hadi wakarudisha hali sehemu nzuri. Sisi kama mazuzu vile yaani hii nchi kila mtu kachoka kuanzia Raisi, wasaidizi wake hadi wananchi
 
Positive feedback effect

Hakuna kitu serikali inaweza kufanya, unless wawe na akiba ya dola nyingi sana BOT, kitu ambacho sidhani kama wanazo....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Halafu tukisema Kikwete na Serikali yake DHAIFU anaingamiza nchi, watu wananuna!!
 
Halafu tukisema Kikwete na Serikali yake DHAIFU anaingamiza nchi, watu wananuna!!
Alafu kuna wangese fulani humu kutwa kutetea upuuzi unaofanywa na serikali hii
madudu wanayofanya mkuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Alafu kuna wangese fulani humu kutwa kutetea upuuzi unaofanywa na serikali hii
madudu wanayofanya mkuu

halafu hawana aibu mpaka najiuliza hawakuzaliwa na mwanamke nini
 
Aisee......na ya malkia ipoje.........?...........
 
Halafu tukisema Kikwete na Serikali yake DHAIFU anaingamiza nchi, watu wananuna!!
Kauli ya Kikwete kipindi kile cha Escrow ilichangia sana sana kuporomosha thamani ya pesa yetu politically
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Anafuga wezi, wapokea rushwa, mafisadi ndani ya Ikulu, Bunge na Wizara mbali mbali wakiwemo majangili na wauza unga hawafanyi chochote halafu eti anataka kutuzuga kwa kuwa mkali kwa nchi Wafadhili!!!! Hatuyumbishwi na nchi za Wafadhili!!! Wakati wanaoiyumbisha nchi akina Gurumo, Chenge, Tibaijuka, Rugemarila na hao aliowasafisha juzi kama tulivyoambiwa na katibu wake Sefue wanaendelea kupeta tena kwa kiburi cha hali ya juu.

Alafu kuna wangese fulani humu kutwa kutetea upuuzi unaofanywa na serikali hii
madudu wanayofanya mkuu
 
Tatizo letu Watanzania ni watu wakuchukulia mambo kiurahisi rahisi tu, "ku ignore". Hahaha
 
Na hii imesababisha import kuwa Expensive sana bei ya Magari imepanda sana ukiona gari inauzwa US $6000 Ujue ni zaidi ya 12Million tofauti na zamani Shilingi imeshuka thamani mno halafu anaingia Lowasa jama ana degree ya Muziki ndo kabisaaaaaaa
 
Ufisadi tu. Than the government blame donors! Out ccm!
 
Back
Top Bottom