Bei ya mafuta huko kenya

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,548
Reaction score
9,740
Wasalaam ndugu zangu katika Africa
Samahani wakuu naomba kujua bei ya mafuta huko kenya mana kwa huku Tz tumepandishiwa mpaka Tsh 2400 had Tsh 2500 kwa baadhi ya maeneo
 
Una akili timamu kweli, bei za mafuta zinaingiliana vipi na IMF, tunaongeza makodi ya ajabu wenyewe tunasingizia IMF.
Boss badala matusi ask for facts idiot, IMF has more say in your country than you may think, jisomee madeni lazima tuwalipe

 
Duuu. Kwa kweli tumekwisha. Hata mimi sikulijua kabisa kwamba IMF wapo kwenye mafuta
 
Wasalaam ndugu zangu katika Africa
Samahani wakuu naomba kujua bei ya mafuta huko kenya mana kwa huku Tz tumepandishiwa mpaka Tsh 2400 had Tsh 2500 kwa baadhi ya maeneo
Hahaha. Poleni sana. Kwani hapo awali bei ilikuwa pesa ngapi? Bei imeongezeka kwa shilingi ngapi?
 
Diesel hapa Kwa Samia ni 2200 - 2300 tunacheza humo humo tu kama ninyi
Cost of living Kenya ipo juu kushinda Tanzania. Hata income per capita ipo juu Kenya kushinda Tanzania. Sasa vipi bei ya mafuta zitatoshana hapa Kenya na huko Tanzania? Mnagongwa sana. Poleni.
 
Una akili timamu kweli, bei za mafuta zinaingiliana vipi na IMF, tunaongeza makodi ya ajabu wenyewe tunasingizia IMF.
Wacha upuuzi. Bajeti yenu ni kubwa unataka serikali itoe wapi tax? Mafuta ni bidhaa rahisi sana ya kutoza tax kwa sababu lazima kila mwenye gari akinunue na kukitumia. Japo bei ya mafuta ikipanda basi bei ya bidhaa zingine zitapanda pia.
 
H
Huo ujinga upo kwenu tu Kenya na other failed state ambazo zilikuwa zinaenda kuwa bankruptcy ila kuna nchi nyingi tu ambazo bei ya mafuta ni around 0.5 USD, pia ongezeke la bei Tz halina uhusiano wowote na IMF bali ni uamuzi binafsi wa serikali dhaifu kuongeza kodi tu kwenye mafuta kitu ambacho kitaleta tu inflation baadae.
 
Again, your just an idiot mnakopa IMF mnadhani they dont have say in your country
 
Unapewa masharti ya ajabu ajabu ukiwa umefilisika tu, GoK ni mfilisi ndio maana IMF na China wote wanawapa masharti ya kipumbavu kabla ya kukopa tena.
You think its a coincidence mmeongezewa ushuru kwa airtime same as kenya , wacha kushabikia upuzi, your worse off than us
 
You think its a coincidence mmeongezewa ushuru kwa airtime same as kenya , wacha kushabikia upuzi, your worse off than us
Unafikiria kila nchi imelemewa na madeni kama Kenya, unafikiria kila nchi inaenda kukopa ili kulipa madeni ya zamani, huo ujinga upo kwenu tu, vumilia na furahia ujinga wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…