Bei ya mafuta huko kenya

Bei ya mafuta huko kenya

Boss badala matusi ask for facts idiot, IMF has more say in your country than you may think, jisomee madeni lazima tuwalipe

Mzee umeshindwa kuelewa hii ni term ya mikopo yenu mnayopata kutoka IMF?

Hii ni term between Kenya and IMF not IMF and Nations

The IMF’s push for the fuel tax was revealed in an advisory to the government after the fund’s board approved a new loan for Kenya valued at $2.34 billion.
 
Duuu. Kwa kweli tumekwisha. Hata mimi sikulijua kabisa kwamba IMF wapo kwenye mafuta
IMF hawana uhusiano wowote na Mafuta ila unapochukua mikopo kwao lazima ukubali kuchukua ushauri wao wa namna ya kurejesha mikopo yao kutoka kwenye vyanzo vyako vya kodi, hapo ni IMF inaishauri Kunyaland namna ya kurejesha mikopo yao kwa haraka kupitia ushuru wa mafuta.
 
Cost of living Kenya ipo juu kushinda Tanzania. Hata income per capita ipo juu Kenya kushinda Tanzania. Sasa vipi bei ya mafuta zitatoshana hapa Kenya na huko Tanzania? Mnagongwa sana. Poleni.
Watakati huo huo mnaongoza kufa njaa na kuishi kwenye slums
 
You think its a coincidence mmeongezewa ushuru kwa airtime same as kenya , wacha kushabikia upuzi, your worse off than us
Idea ya kuongeza ushuru airtime freshly ulitolewa na mbunge zungu na sio IMF wala foreign policy yoyote kama ninyi

 
Mzee umeshindwa kuelewa hii ni term ya mikopo yenu mnayopata kutoka IMF?

Hii ni term between Kenya and IMF not IMF and Nations

The IMF’s push for the fuel tax was revealed in an advisory to the government after the fund’s board approved a new loan for Kenya valued at $2.34 billion.
Niliilewa vizuri sana boss, my point is IMF has alot of say in developing nations, especially kama ukona mkopo kwao, i believe this is one of the Beberu Tz is always referring to and hates, yet it takes loans from them
 
Hata kama Kenya bei ya mafuta ingekuwa ni 5,000/= huenda bado ingekuwa rahisi kuliko Tanzania kutokana na nguvu ya pesa, buying power n.k..... (Its all about disposable income and if people can afford it) na Policies zingekuwa nzuri vitu vya muhimu vinaweza hata kuwa subsidised ukashangaa bei inakuwa ndogo...

Huenda England hilo shati ulilovaa hapo, ulilonunua elfu 20,000/= UK usilipate; sababu hio itakuwa kama 6 pounds...,

The moral of the story tusiangalie kina nani bei ni ngapi bali kama wananchi wanaweza kuhimili ongezeko / maongezeko hayo....
 
Back
Top Bottom