a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
Mafuta yakipanda automatically gharama za maisha zitapanda kila kitu kitapanda bei.
Serikali zenye akili zina futa kodi na ushuru kwenye mafuta ili kuzuia bei ya mafuta kupanda na kudhibiti mfumuko wa bei kuzuia kupanda kwa gharama zote za maisha ,na hiyo ndiyo maana ya serikali kwa ajili ya manufaa maslahi na faida ya wananchi wake.
ilitakiwa maridhiano yafanyike kati ya serikali na haya matajiri wafanya biashara ya mafuta
badala ya kuwazuia dereva wa mabasi ,daladala,boda boda na na bajaji kupandisha nauli..ili hali mafuta sheli wanauziwa wananunua kwa gharama kubwa.(itawezekanaje nauli isipande wakubali kupata hasara hawa wanyonge??
Hii ni logic ambayo inaeleweka kwa kila ntu hata kichaa tu anafahamu.
MAFUTA yataendelea kuadimika kadiri siku zinavyoendelea
watu wanunue baiskeli kwa wingi
baiskeli zitauzwa bei ya gharama sana huko mbeleni kuliko hata magari
wanaofuga punda na farasi
watengeneze gari za magurudumu za kukokotwa kww punda na farasi huko mbeleni watakuwa ndio vyombo vya usafiri vitakavyitumika kama dala dala.
UNYAKUO UNATOKEA HIVI PUNDE
DHIKI KUU YA DUNIA IMESHA ANZA
VITA vya tatu vya dunia vimeshaanza.
NEW WORLD ORDER
CHAPA 666
Huu ndio mwanzo wa ule
mwisho...NENO LA UNABII..