a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
Sio kweliVITA vya tatu vya dunia vimeshaanza.
Bei ya Mafuta kupanda sio mara ya kwanza nadhani mnajisahaulisha lakini hayo uliyosema hayajawahi tokea so acha mihemkoMafuta yakipanda automatically gharama za maisha zitapanda kila kitu kitapanda bei.
Serikali zenye akili zina futa kodi na ushuru kwenye mafuta ili kuzuia bei ya mafuta kupanda na kudhibiti mfumuko wa bei kuzuia kupanda kwa gharama zote za maisha ,na hiyo ndiyo maana ya serikali kwa ajili ya manufaa maslahi na faida ya wananchi wake.
ilitakiwa maridhiano yafanyike kati ya serikali na haya matajiri wafanya biashara ya mafuta
badala ya kuwazuia dereva wa mabasi ,daladala,boda boda na na bajaji kupandisha nauli..ili hali mafuta sheli wanauziwa wananunua kwa gharama kubwa.(itawezekanaje nauli isipande wakubali kupata hasara hawa wanyonge??
Hii ni logic ambayo inaeleweka kwa kila ntu hata kichaa tu anafahamu.
MAFUTA yataendelea kuadimika kadiri siku zinavyoendelea
watu wanunue baiskeli kwa wingi
baiskeli zitauzwa bei ya gharama sana huko mbeleni kuliko hata magari
wanaofuga punda na farasi
watengeneze gari za magurudumu za kukokotwa kww punda na farasi huko mbeleni watakuwa ndio vyombo vya usafiri vitakavyitumika kama dala dala.
UNYAKUO UNATOKEA HIVI PUNDE
DHIKI KUU YA DUNIA IMESHA ANZA
VITA vya tatu vya dunia vimeshaanza.
NEW WORLD ORDER
CHAPA 666
Huu ndio mwanzo wa ule
mwisho...NENO LA UNABII..
KIROHO TAYARISio kweli
sisi wamatumbi tunawaza kulinda nyeti sehemu za siri zisi ibwe kichawi...tunazikinda kwa pini ,ndulele...tunawaza mzigo uwepo nguvu za kiume ...uchawi...dini za kukanyaga mafuta za mitume na manabii wa mchongo...simba na yanga bongofleva bongo muvie😂😂😂😂 hivi Europe include Russia, America, Canada,CHINA, INDIA na AUSTRALIA huwa wanawaza kama sisi wamatumbi tunavyowaza?
Yani na hawa nchini kwao wanjua MWISHO WA DUNIA UMEFIKA?
nguvu za kiume --utasikia hii inaongeza kupunguza nguvu za kiumesisi wamatumbi tunawaza kulinda nyeti sehemu za siri zisi ibwe kichawi...tunazikinda kwa pini ,ndulele...tunawaza mzigo uwepo nguvu za kiume ...uchawi...dini za kukanyaga mafuta za mitume na manabii wa mchongo...simba na yanga bongofleva bongo muvie
na vigundi vya magaidi na wahamiaji wageni wanaoishi marekani pamoja na trrrorist vikundi vya kigaidi..Sio kweli
Hii ni NDOTO?na vigundi vya magaidi na wahamiaji wageni wanaoishi marekani pamoja na trrrorist vikundi vya kigaidi..
Kwa wanaofuatilia habari za ufunuo wa DANIEL wanafahamu hii script ,US inakwenda kuangushwa na US dollar inakwenda kuanguka...RUSSIA+CHINA zinakwenda kuinuka...
na Vita vya tatu vya dunia vinakwenda kuanza kati ya makundi haya makuu manne
1)kundi la kwanza URUSI USSR itaungana na UKRAINE,+ CHINA +KOREA ASIA na North africa
kundi pa pili
2)USA NATO na South africa
3)kundi la tatu ambalo ni dhaifu hakina silaha ambalo litakuwa linajificha na kujihaminna vita vya wenyewe(EAST AFRICA +WEST AFRICA)
4)Kundi la nne ni ISRAEL ambayo haitapigana hii vita vya hermageddon
baada ya hii vita MPINGA KRISTO ataibuka
atakuja na suluhisho la NWO,akisaidina na nabii wa uongo na mnyama,akisaidiana na reptilian manefil nephilim na IA robots
Vita vya magogu mataifa yote yataungana kumshambulia ISRAEL KILA PANDE...
baada ya vita vya 3 vya dunia mataifa yote yataungana kumshambulia ISRAEL KUTOKA KILA PANDE KILA KONA
kwa sababu haya yote yamesha anza kutokea ni katika miaka hii mpaka 2033..wote tutayashuhudia kwa macho yetu...kizazi hiki chetu cha hakitapita..Hii ni NDOTO?
Hakitapita kuelekea wapi?kwa sababu haya yote yamesha anza kutokea ni katika miaka hii mpaka 2033..wote tutayashuhudia kwa macho yetu...kizazi hiki chetu cha hakitapita..
Tuombe uzima tu,yamkini haya yote yameshaanza kutokeo na ambayo yapo njiani yatatokea KATIKA KIZAZI HIKI CHETU HUKU TUKISHUHUDIA.Hakitapita kuelekea wapi?