Bei ya mafuta imefika 105 USD kwa pipa. Tanzania tutafute mafuta yetu, kuna siku tutalia na kusaga meno

Tesla
 
Gesi kuwa mafuta?

Hii teknolojia ya wapi?
Mbona ipo hii mzee, kama sikosei Uzbekistan [emoji1260] wameshaanza kufanya hii kitu. Unapata petrol, dieael mpaka mafuta ya ndege.
 
hata ikiwezekana itakuwa gharama mno kuishinda hata gharama ya kuagiza mafuta nje
Sio rahisi, gharama ni mwanzo kwenye kiwanda tu, shida gesi yenyewe aishauziwa mtu hatuimiliki tena sisi, ila ingekuwa inachimbwa na sisi tunaprocess sisi mbona lita la wese lingegonga hata 1500, shida ni hapo mwanzo tu, unaweza ukakuta kiwanda kinahitaji dola bilioni 3-5 hivi.
 
Tutafute mafuta yetu ,wakati hapa tuna gas Bei ya umeme ipo juu Sasa hata tukiyapata mafuta hatutapata unafuu wowote
 
Kama kweli tz tulikuwa na trillions za cubic metres za gas na mara ghafla tunasikia kuwa ilishauzwa yote na inatupasa kuinunua kwa 'wenyewe' ili kuzalisha umeme na kutumia majumbani, unadhani itakuwaje kwa mafuta?

Na najiuliza, inakuwaje Uganda wamevumbua mafuata lakini badala ya kuwekeza kwenye kuyasafisha ili wakamate soko la maziwa makuu badala yake wanawekeza matrillion ili wayalete yakiwa ghafi hadi Tanga ili kuyasafirisha ...wanayapeleka wapi na kesho uanaona trucks zimebeba yaliyosafishwa kuwarudishia.
Tuna tatizo sehemu kwa mtu mweusi
 

Gharama za kujenga kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi ni kubwaaaa sanaaaaa
Nigeria wenyewe ndo wanasubiri Dangote amalize kiwanda ndo waanze kuchakata licha ya kuwa wapo hapo kwenye sekta ya mafuta kwa miaka mingi sanaaaa
 
Usichokijua ni kuwa hata tukipata yetu, kwa kuwa ni ya mzungu tukishauza vitalu, tutsyanunua kwa bei ya duniani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…