Kiturilo JF-Expert Member Joined Sep 27, 2021 Posts 708 Reaction score 2,859 Jun 1, 2022 #1 Faida ya kushusha bei ya mafuta ilikuwa na bei ya vitu vingine vishuke kuleta unafuu wa maisha. Lakini sasa kama tunaambiwa kushusha bidhaa zingine inahitaji mchakato mrefu, kwa kweli inasikitisha sana. Soma: EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni Mosi
Faida ya kushusha bei ya mafuta ilikuwa na bei ya vitu vingine vishuke kuleta unafuu wa maisha. Lakini sasa kama tunaambiwa kushusha bidhaa zingine inahitaji mchakato mrefu, kwa kweli inasikitisha sana. Soma: EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni Mosi
D Deceiver JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 9,446 Reaction score 17,017 Jun 1, 2022 #2 Kwani Bei itashuka kwa muda gani? CCM ni ile ile, CCM ni ile ileeeeeeh.
mdudu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 7,013 Reaction score 10,000 Jun 1, 2022 #3 Huwezi kurudisha masaa nyuma.
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 6,974 Reaction score 8,750 Jul 15, 2022 #4 Kiturilo said: Faida ya kushusha bei ya mafuta ilikuwa na bei ya vitu vingine vishuke kuleta unafuu wa maisha. Lakini sasa kama tunaambiwa kushusha bidhaa zingine inahitaji mchakato mrefu, kwa kweli inasikitisha sana. Soma: EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni Mosi Click to expand... Okay
Kiturilo said: Faida ya kushusha bei ya mafuta ilikuwa na bei ya vitu vingine vishuke kuleta unafuu wa maisha. Lakini sasa kama tunaambiwa kushusha bidhaa zingine inahitaji mchakato mrefu, kwa kweli inasikitisha sana. Soma: EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni Mosi Click to expand... Okay