EWURA itapandisha bei za mafuta kuanzia tarehe moja novemba,hii ni kwa mujibu wa tetesi kutoka chanzo cha uhakika.
Baadhi ya vituo vya mafuta vimekuwa vikijizuia kuuza mafuta katika maeneo yao kusubiri ujio wa bei mpya
Tujiandae kwa pigo hili watanzania

Misfortune never come singularkila janga huambana na msindikizaji wake,
japo kuna ugumu wa maisha,mafuta pia yatapanda, kwa mujibu wa tetesi
Tupe data za bei ya pipa la mafuta ghafi kwa leo katika kutibitisha hoja yako.Huu ni wizi wa mchana kweupe, katika soko la dunia bei ya mafuta inashuka kutokana na kutoelewana kati ya nchi za OPEC na zile ambazo hazimo OPEC katika kupunguza viwango vyao vya uzalishaji, lakini hapa nchini inapandishwa!
Tupe data za bei ya pipa la mafuta ghafi kwa leo katika kutibitisha hoja yako.
Upo vizuri, kwa wale wavivu kutembelea iko hivi.