TshHiyo ni Dollar au Tsh?
Huwezi zalisha mafuta kwa tsh 61, it's just Wana mafuta mengi, ukinunua mafuta kwao unawasaidia Raia wa Libya kupata mafuta ya bei rahisi.Tajiri, unatakiwa ujue Libya ni wazalishaji wa mafuta!
Mtu hawezi kushangaa bei hiyo Libya. Mafuta wanayo wale, wanachimba wenyewe.
Huwezi zalisha mafuta kwa tsh 61, it's just Wana mafuta mengi, ukinunua mafuta kwao unawasaidia Raia wa Libya kupata mafuta ya bei rahisi.
Gharama ya lita moja ya mafuta kabla ya faida ni 2000-2500 inacheza hapo.
Malawi be ya petrol ni MK6,672 (Tsh4,670)Kuna list ya bei mbalimbali za Petrol Duniani. Kuanzia bei ndogo kabisa hadi bei kubwa.
Unaweza kuangalia hapa baadhi:
View attachment 3573640View attachment 3573641View attachment 3573642View attachment 3573643View attachment 3573644View attachment 3573645
Kwa nn tusichukue huko ?Tajiri, unatakiwa ujue Libya ni wazalishaji wa mafuta!
Mtu hawezi kushangaa bei hiyo Libya. Mafuta wanayo wale, wanachimba wenyewe.
Bei yako ya zamani. View attachment 3573659
Duh 4,670Tsh. kwani izi exchange rates zipoje watalam,namimi nikiingia Google kuchange iyo Mk6672 inaniletea 10,059Tsh.napia kuna makala niliisoma mtandaoni juzi ilikuwa inasema malawi ni nchi ya pili kama sio yatatu kwa bei kubwa yamafuta dunianiMalawi be ya petrol ni MK6,672 (Tsh4,670)
Tuna change 0.7 shiling kwa kwacha,hiyo 9,995 imetoka wapi !!
Kwa nn tusichukue huko ?
Ni kweli kwa dollar ni $3.86, dollar moja unapata kwacha 1,728.5. Ukifika mpakani (Kasumulu) utachenji shilingi kwa 0.7 ili upate kwacha,yaani sh7,000 ni Mk10,000Duh 4,670Tsh. kwani izi exchange rates zipoje watalam,namimi nikiingia Google kuchange iyo Mk6672 inaniletea 10,059Tsh.napia kuna makala niliisoma mtandaoni juzi ilikuwa inasema malawi ni nchi ya pili kama sio yatatu kwa bei kubwa yamafuta duniani
Ndio ila haimaanishi unazalisha bure, inabidi yachimbwe yaende refineries etc Hapo Libya wenyewe wananunua mafuta nje,Libya ni wazalishaji wa mafuta.
Ndio ila haimaanishi unazalisha bure, inabidi yachimbwe yaende refineries etc Hapo Libya wenyewe wananunua mafuta nje,
Long story short wenye refineries ndio Wauza mafuta na sio nchi yenye mafuta, Mafuta mengi wanazotumia Libya yanatoka Urusi, na wao Mafuta Yao wanauza China, Italy etc.
Sababu wanauza Mafuta mengi (Crude ambayo hayajasafishwa) hela wanayoipata wanafanya subsidize kwenye mafuta Yao wanayonunua nje.