Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Usisahau nyanya zilituozea huku ndani! Unaikumbuka sababu?Watanzania ni watu wa ajabu sana. Kila siku wanalalamika kuwa Watanzania wamekuwa maskini. Serikali ikuchukua hatua kuwainua hao hao Watanzania wanalalamika tena. UKWELI UNABAKLI PALE PALE. HAKUNA NAMNA NYINGINE YA KUWASAIDIA WAKULIMA WETU ZA MAZO HAYO YA MBEGU ZA MAFUTA TUSIPOWEKA MAZINGIRA MAGUMU YA UINGIZAJI WA MBEGU KAMA HIZO NA MAFUTA YA KULA KUTOKA NJJE YA NCHI. HIVYO NDIVYO WANAVYOFANYA NCHI NYINGI ZILIZOPIGA HATUA. HIYO NDO FURSA HATA KWAKO, NENDA KAWEKEZE KATIKA KILIMO CHA ALIZETI, UFUTA, PAMBA NA MAWESE. SERRIKALI IMEKUHAKIKISHIA SOKO. HATUWEZI KUTUMIA AKIBA YA FEDHA NYINGI ZA KIGENI KUAGIZA MAFUTA YA KULA NJE YA NCHI WAKATI WAKULIMA WETU WANAZALISHA MBEGU HIZO HIZO NDANI YA NCHI.