Bei ya mafuta yapungua

Bei ya mafuta yapungua

rushanju

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
3,238
Reaction score
5,106
Wakuu. Bei ya mafuta imeshuka kwa kiasi kikubwa kwenye soko la dunia. Kwa kawaida bei ikishuka huchukua muda kuleta mabadiliko hapa nchini. Lkn ikipanda tu utasikia kesho na wanapandisha. Na hivi EWURA iko kutusaidia au kutugandamiza
 
Back
Top Bottom