Bei ya mafuta yazidi kuporomoka

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,342
Tunazidi kushuhudia kupomoka kwa bei ya mafuta, leo yamefika dolar 45.05 kwa pipa, mwenye kujua faida za bulk procurement atuelezee consumers wanawezaje kufaidika na hali hii.

=============UPDATE=============
yameshuka tena zaidi na leo ni dolari za kimarekani 44.34 kwa pipa.

Kama kweli Mwigulu Nchemba ni mzalendo peleka hoja kwa dharura lijadiliwe jambo hili.



21:41 hrs
================UPDATES=============
Mafuta yameendelea kushuka bei na sasa yanauzwa dolari 44.01 kwa pipa.
 
Last edited by a moderator:
Leo ni dolari za kimerekani 45 tu kwa pipa.
 
Tunazidi kushuhudia kupomoka kwa bei ya mafuta, leo yamefika dolar 45.05 kwa pipa, mwenye kujua faida za bulk procurement atuelezee consumers wanawezaje kufaidika na hali hii.

Mafuta hupimwa kwa barrel, How much volume in litres is a barrel
 
Pipa huwa lina lita ngapi afsa

Kumbuka bei ilipokuwa dolari za kimerekani 110 kwa pipa huku bei elekezi ilifika Tsh. 2200, kwa hesabu za kawaida ni kuwa bei elekezi sasa inapaswa kushuka kwa zaidi ya nusu ya tsh. 2200 Ambayo ni 1100 au pungufu ya hapo.

Halafu kuna mijitu inamsifia Mwigulu Nchemba eti ni mzalendo, mwambieni atafute vyanzo vingine vya mapato watuache wananchi tufaidi kushuka kwa bei ya nishati hii muhimu, bei ya soko imeshatengua budget yao.

Ninalalamika kila siku hapa mnasubiri aje kusema Lusinde ndo mseme eti ni mtetezi wa wanyonge.
 
Last edited by a moderator:
Angalia volume ya barrel hapo juu.
Bei ya dunia ikiporomoka haiwezi kushuka ghafla bongo. Ukumbuke mafuta hadi yalipiwe, yapakiwe na yafike na kupakuliwa inachukua almost miezi 2. Kupanda bei ndo fasta fasta
Ubarikiwe kwa majibu fasaha
 
we will not fully benefit from lower global fuel prices. Our currency has depreciated by more than 6% since the start of the year. BoT have no money to intervene since donors have stopped funding-escrow hiyo. Viva CCM!
 
Angalia volume ya barrel hapo juu.
Bei ya dunia ikiporomoka haiwezi kushuka ghafla bongo. Ukumbuke mafuta hadi yalipiwe, yapakiwe na yafike na kupakuliwa inachukua almost miezi 2. Kupanda bei ndo fasta fasta
King'asti mafuta mbona yakipanda bei leo kwenye soko la dunia na huku wafanyabiashara wanapandisha siku hiyo hiyo?
 
Last edited by a moderator:
Kimsingi ughali wa bei ya mafuta nchini ambao hauendani na bei katika soko la dunia unasababishwa na KODI YA SERIKALI. Kwa hiyo bila kodi ya serikali kushushwa kamwe watanzania hamtaweza kuuona unafuu wa kuporomoka kwa bei ya mafuta huko kwa wazalishaji.
 
Vilevile ikumbukwe kuwa mafuta yanayonunuliwa leo huko wanakoyazalisha yatachukua muda wa kama miezi miwili ama mitatu kufika sokoni(Tz) so + ushuru
Ndo maana wakati mwingine huchukua muda sana bei kushuka sokoni labda tuombe indelee kushuka ama kuendelea kuwa hapo kwa miezi mingine 5
 

Maombi yako yanazidi kusikilizwa, yameshuka tena zaidi na leo ni dolari za kimarekani 44.34 kwa pipa.
 
Kingmairo and Ngamba, yes it is true about the custom duties and taxes and yes it is true about logistic costs amd the deliveries. But the $45 per barel price is based on crude oil not on refined product and the price is on what is called "oil futures." so if $45 per barrel of crude is for April futures this price is not the price of oil that was delivered in November at a particular port refineries..
Since Tiper is dead Tanzania has no refinery at all we buy bulk refine products amd this is sold on (like crude oil at the mercy of the speculators) what is called 'plat' which is a semblance to futures but in quotas.

So if Tanzania bulk orders were on previous plats before the fall of crude prices we will not see the sudden drop of fuel prices at the pump. We should advise our MPs to fight the govt to completely remove fuel import duties and reduce sales tax since we dont have to protect any local production here.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…