Bei ya mahindi kwa mwaka 2022 ni kubwa kuliko 2021

Bei ya mahindi kwa mwaka 2022 ni kubwa kuliko 2021

OLS

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
426
Reaction score
685
Kimsingi trend ya bei ya mahindi imeonesha hali isiyo ya kawaida kwa mwaka 2022. Hali tunayoweza kuilalamikia ulaya kutokana na Vita vinanvyoendelea Ulaya mashariki.
1666017443485.png

Kwa kuangalia trend ya bei za gunia la mahindi ni kawaida kwa bei kupanda na kushuka kutokana na utofauti wa vipindi vya mwaka. Kikawaida bei za mahindi huwa zinapungua kuanzia mwezi wa pili.

Hata hivyo kwa mwaka 2022, bei za mahindi zilianza kuongezeka mwezi wa pili badala ya kupungua kama ilivyo kwenye miaka mingine. Ni kweli kwamba hatuwezi kuacha kuzungumzia athari za vita va Ulaya Mashariki. Hata hivyo tusiache kujilaumu wenyewe kwa kushindwa kuwa na sera nzuri za kilimo

1666017628471.png
 
Back
Top Bottom