Eti alikuwa anatakatisha pesaMkuu kwani nini yuko Mahabusu?
Nami najichimbia shamba nikakomae na mhind msimu huu kiteto.Asante sana mkuu kwa feedback hii.
Ilikuwa ni eka 25 kwa ujumla ilizidiwa sana na Mvua za Mwaka huu na wale wadudu waitwao kanitangaze....
Gunia la debe ngapi mkuu? Au tuseme debe wanauza sh ngapi?Morogoro 72,000
Mkuu naomba kukuuliza mashamba kiteto yanaanza kuandaliwa Muda gani nina trekta mwezi December mwishoni inaelekea Kilindi kupitia Kiteto ....je naweza kupata kibarua ya kulima mashamba kwa wananchi?Nami najichimbia shamba nikakomae na mhind msimu huu kiteto.
Wanapima kwa kilo. Kiloba kimoja chenye kilo 120 wananunua kwa elfu 72,000.Gunia la debe ngapi mkuu? Au tuseme debe wanauza sh ngapi?
That means debe litacheza kati ya 10,000/- hadi 12,000/- bado sio bei mbaya japo mwaka bei za mazao ziko chini sana sijui shida nini; mpunga ndo umegoma kabsa kupandaWanapima kwa kilo. Kiloba kimoja chenye kilo 120 wananunua kwa elfu 72,000.
Kilo zikizidi bei hiyo inaongezeka, au kilo zikipungua wanagawnya ili kupata bei halisi ya mzigo wako.
Asilimia kubwa wanaanza december mwishoni had january,nafikiri utakuwa mda sahihi.Mkuu naomba kukuuliza mashamba kiteto yanaanza kuandaliwa Muda gani nina trekta mwezi December mwishoni inaelekea Kilindi kupitia Kiteto ....je naweza kupata kibarua ya kulima mashamba kwa wananchi?
Hivi mahindi ya mkoa gani ni mazuri kwa kusaga sembeHata debe ni sawa ila gunia la kawaida ni debe sita labda iwe rumbesa....
Mbona huyu Kantangaze au kitaalam tita absoluta huathiri nyanya,vitunguu hoho na viazi? Labda mdudu mwingine.Asante sana mkuu kwa feedback hii.
Ilikuwa ni eka 25 kwa ujumla ilizidiwa sana na Mvua za Mwaka huu na wale wadudu waitwao kanitangaze....