Fanya unga. Utalipa zaidi.
Mtu mzima ila busara hamna
ur welcome!Zako nimeziona kwa mchango wako huu, unaonesha una busara kubwa sana kupita kiasi. Uzidishiwe.
tunataka bei ifike mpaka sh.700-800 kwa kilo then gunia iwe kati ya 70 to 80,000 tsh per gunia tofauti na sasa kg 400 wakati ulinunua sh.480 kwa kg
Asante Mungu kwa kustawisha mazao ili tuweze kuwa na chakula cha kutosha!!!:smile-big:yaani mkuu juzi nimetembea kucheki ya shambani yamestawi vizuri huku ya mwaka jana yamedoda stoo ni hatari sana mengine tulinunua kwa hela za mikopo
Kwnn msipeleke zambia au malawi?
hata mchele bei iko chini sana,naona biashara ya nafaka imeloga hii miaka mitatuWakuu ni masikitiko makubwa kwa wajasiriamali wote waliohifadhi mahindi ghalani kwa kuwa mwaka huu hakuna bei kabisa na inaonekana kuna chakula cha kutosha pia katika mizunguko yangu katika mikoa mbalimbali nimeona mahindi yamestawi vizuri sana; sasa wadau kwa nini serikali isiruhusu wafanyabiashara kuuza nje? na kwenye mashirika kama WFP wakapeleke Somalia na CAR? kwa kweli inasikitisha kwani mipango ya wengi inakwama