M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,266 Reaction score 3,698 Jul 10, 2023 #1 Wakuu, Nauliza bei za mashine za kufulia nguo, mashine nzuri na imara ni bei gani?
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jul 10, 2023 #2 Wajuvi wanakuja mkuu kila la kheri!
sonnita JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 1,787 Reaction score 1,918 Jul 10, 2023 #3 Kuanzia 600k unaweza kupata za HISENCE ziko vzuri
M MADEMADE Member Joined Jun 23, 2023 Posts 68 Reaction score 70 Jul 10, 2023 #4 malembeka18 said: Wakuu, Nauliza bei za mashine za kufulia nguo, mashine nzuri na imara ni bei gani? Click to expand... LG 2.5ML CAPACITY 14Kg
malembeka18 said: Wakuu, Nauliza bei za mashine za kufulia nguo, mashine nzuri na imara ni bei gani? Click to expand... LG 2.5ML CAPACITY 14Kg
R rude Boi JF-Expert Member Joined Jul 28, 2021 Posts 333 Reaction score 632 Jul 11, 2023 #5 Bei ya machine inategemea ina ukubwa kiasi gani yaani inaweza kufua kg ngapi kwa mara moja,ni mannual au automatic,inafua tu au inafua na kukausha nguo.
Bei ya machine inategemea ina ukubwa kiasi gani yaani inaweza kufua kg ngapi kwa mara moja,ni mannual au automatic,inafua tu au inafua na kukausha nguo.
bestchoicetz JF-Expert Member Joined Jul 4, 2023 Posts 383 Reaction score 875 Jul 12, 2023 #6 Unataka mashine ya ukubwa gani ,kg ngapi Kampuni gani ? .... hapo nimekuwekea kampuni mbili tofauti