Bei ya mashine ya kufulia nguo

Bei ya mashine ya kufulia nguo

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Wakuu,

Nauliza bei za mashine za kufulia nguo, mashine nzuri na imara ni bei gani?
 
Kuanzia 600k unaweza kupata za HISENCE ziko vzuri
 
Bei ya machine inategemea ina ukubwa kiasi gani yaani inaweza kufua kg ngapi kwa mara moja,ni mannual au automatic,inafua tu au inafua na kukausha nguo.
 
Unataka mashine ya ukubwa gani ,kg ngapi
Kampuni gani ? .... hapo nimekuwekea kampuni mbili tofauti
IMG_20230710_120831_381.jpg
IMG_20230624_073430_902.jpg
 
Back
Top Bottom