Kamuzu Niko mwanza na nilipendelea mashine ndogo au za kati hii itabainishwa na bei, nataka kufungua ka kiwanda kadogo kijjn
Mashine za kukereza ni zile mashine zinazo chonga maua au miviringo ktk miguu ya meza stuli na viti
Kwa mwanza sina uzoefu ila Dar zipo nyingi mitaa ya jiji kati, kuna maduka wanauza bei juu sana na mengine nafuu sana, ni wewe tu kuwa mchunguzi.Kamuzu Niko mwanza na nilipendelea mashine ndogo au za kati hii itabainishwa na bei, nataka kufungua ka kiwanda kadogo kijjn
Sema kiwanda kikubwa, mbuyu ulianza kama mchicha.