Bei ya mashine ya kukeleza mbao

Bei ya mashine ya kukeleza mbao

napenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
485
Reaction score
90
Naomba anaejua bei ya mashine za kukeleza mbao, pia zinakopatikana, msaada pls
 
Aina ya mashine, mahali ulipo, hebu toa maelezo malefu usaidiwe.
 
Kamuzu Niko mwanza na nilipendelea mashine ndogo au za kati hii itabainishwa na bei, nataka kufungua ka kiwanda kadogo kijjn
 
Last edited by a moderator:
By Narubongo: mkuu, nunua JD machine bei 1-1.3m.,
hii ni multipurpose unaweza kufunga
machine ya kusaga, kuchana mbao/
randa,

Kuna huu ushauri nimeupata naona unamsaada.
 
KUNA JAMAA ANAYO HAIJATUMIKA SANA ANAUZA 350000,na nyinginezo waweza kupata sehemu kama sido au hapa morogoro shirika la mzinga huwa wanatengeneza lakini bei yake si haba.
 
Kamuzu Niko mwanza na nilipendelea mashine ndogo au za kati hii itabainishwa na bei, nataka kufungua ka kiwanda kadogo kijjn
Kwa mwanza sina uzoefu ila Dar zipo nyingi mitaa ya jiji kati, kuna maduka wanauza bei juu sana na mengine nafuu sana, ni wewe tu kuwa mchunguzi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom