R Rutana Member Joined Aug 21, 2013 Posts 25 Reaction score 4 Mar 1, 2014 #1 Ndugu wadau naombeni kufahamishwa bei ya mashine mpya ya kusaga na kukoboa kwa dar es salaam.
gimmy's JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 3,312 Reaction score 3,345 Mar 1, 2014 #2 kama wiki mbili au tatu zilizopita tulishawahi kufanya mjadala mrefu juu ya ulichokiuliza,jaribu kurejea nyuma kama hutoweza kuuona utani pm nitakusaidia kwani ninaouzoefu kwenye field hio.
kama wiki mbili au tatu zilizopita tulishawahi kufanya mjadala mrefu juu ya ulichokiuliza,jaribu kurejea nyuma kama hutoweza kuuona utani pm nitakusaidia kwani ninaouzoefu kwenye field hio.
R Rutana Member Joined Aug 21, 2013 Posts 25 Reaction score 4 Mar 1, 2014 Thread starter #3 Asante mdau kwa mwongozo
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,422 Reaction score 7,350 Mar 1, 2014 #4 Nenda Kisutu(Morogoro road)kuna maduka mengi wanauza hizo biashara za mashinne mfano AUTO SOKONI