Bei ya mashine ya kusaga na kukoboa

Bei ya mashine ya kusaga na kukoboa

Rutana

Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
25
Reaction score
4
Ndugu wadau naombeni kufahamishwa bei ya mashine mpya ya kusaga na kukoboa kwa dar es salaam.
 
kama wiki mbili au tatu zilizopita tulishawahi kufanya mjadala mrefu juu ya ulichokiuliza,jaribu kurejea nyuma kama hutoweza kuuona utani pm nitakusaidia kwani ninaouzoefu kwenye field hio.
 
Nenda Kisutu(Morogoro road)kuna maduka mengi wanauza hizo biashara za mashinne mfano AUTO SOKONI
 
Back
Top Bottom