Bei ya Mask = sukari 1kg/4,000 Tsh

Nina miaka mingi sana sijanywa chai, so sukari sio hitaji muhimu msela mimi, hizo barakoa huwa naona tu mastar uchwala wakiwa wamevaa IG.
 
Jana nimesikia huko sauzi afrika wataalam wanadai barakoa hazizuii chochote kwa maabukizi ya covid hivyo haina haja ya kuzivaa,badala yake wametengeneza roboti anayepulizia dawa kuua virusi hivyo maeneo ya mikusanyiko na katika vyumba vya wagonjwa kwa muda usiozidi dakika tano.

Sasa huku tunahamasishwa kununua mabarakoa na Kenya kule jeshi lao LA polisi linafanya doria kudhibiti wanaokiuka agizo LA kutoa kuvaa barakoa mitaani...hapo ndio nashindwa kuelewa nani yupo sahihi.
Chanzo ni idhaa ya kiswahili ya ujerumani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…