Bei ya matank ya kuhifadhia maji lt 2000 au 3000

Bei ya matank ya kuhifadhia maji lt 2000 au 3000

Bhbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
714
Reaction score
210
Wakuu naomba kujuzwa bei ya matank ya kuhifadhia miji ya lita 2000 au 3000, simtank au polytank kama sijakosea. Natanguliza shukurani wakuu.
 
Siku unanunua tenki la dili. Jiandae kwenda Segerea kwa kutakatisha pesa
 
Mim nataka la rangi nyeupe ambalo naweza kuona ndani mwenye nalo tukutane pm
 
Back
Top Bottom