fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,071
lita 3000 kitako kina kipenyo gani?
Lita 3000 uneza kupata kwa sh 350,000/=.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lita 3000 uneza kupata kwa sh 350,000/=.
Nimenunu mbagala pale kwa mwarabu lita 2000 simtank, kaniuzia laki mbili na 90 tu.shlingi laki 3.3 kwa lita 2000,na laki 4.5 kwa 3000lts
Khaaaaa nikajua huko ndo kuna uafadhaliUkinunua kiwandani hawakuzii moja
Wanauza, ila Bei yake ni kubwa kuliko dukani.Ukinunua kiwandani hawakuzii moja
shlingi laki 3.3 kwa lita 2000,na laki 4.5 kwa 3000lts
Laki 4.5 lita 3000.. Kama bado unaliitaji laki 4 .. piga number 0717636232Wakuu naomba kujuzwa bei ya matank ya kuhifadhia miji ya lita 2000 au 3000, simtank au polytank kama sijakosea. Natanguliza shukurani wakuu.
wewe taja bei tu mkuu watu watakujaUzi umepota, hamuhitaji tena Matank!?