CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Huzi ndo Swaga zetu na nilikuwa nasubilia coment ya aina hiiKwetu nyani ndo wanakula hayo milimani
Kwetu nyani ndo wanakula hayo milimani
Golden berry mfano nisha lima sana na nikiuza sana shida shamba nililikowa nalima lilikuwa ba mgogoro na kesi ikawa iko mahakamani sasa ikaleta shida sana nikaacha.Mkuu chasha, heshima kwako, mkuu hivi unafikiria nini kutokana na hizi fursa nyingi unazozituma humu jukwaani?, au kwa maneno mengine umeshachukua hatua gani?.
Sent from my D6616 using JamiiForums mobile app
Haya matunda huwa watu wanayachukulia poa sana, haya matunda ni ghari sana kwa nchi za ulaya hasa Scandnavia countries na yanatoka South America hasa Colombia ambako ndo wazalishaji wakuu wa Golden berry.
Hapa ni bei ya Robo kilo sasa piga mara 4 kupata bei ya kilo moja.
Kama usha kunywa spareta soda ile flavour yake ni ya haya matunda.
View attachment 2169616
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Tanzania hayawezi kulimwa hata at small scale level? Kwani hali ya hewa ya huko South America na huku kwetu inaweza kuwa sawa tu, kwani wote ni tropical countries au siyo!?Haya matunda huwa watu wanayachukulia poa sana, haya matunda ni ghari sana kwa nchi za ulaya hasa Scandnavia countries na yanatoka South America hasa Colombia ambako ndo wazalishaji wakuu wa Golden berry.
Hapa ni bei ya Robo kilo sasa piga mara 4 kupata bei ya kilo moja.
Kama usha kunywa spareta soda ile flavour yake ni ya haya matunda.
View attachment 2169616
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Yes na consumer wakubwa wa Matunda ni wazungu na wahindi na Midle class wabongoUnajua kuwa kwa wabongo ulaji wa matunda si kipaumbele, ukiamka asubuhi unawaza kibarua cha kukupatia unga na maharage. Waajiri wenyewe ni Wachina, kazi ya kutwa mshahara sh 3,000.
Tunda kwa wengi ni anasa.
Mimi nililima sana mkuu,Tanzania hayawezi kulimwa hata at small scale level? Kwani hali ya hewa ya huko South America na huku kwetu inaweza kuwa sawa tu, kwani wote ni tropical countries au siyo!?
Ndiyo maana matunda machache tunayovuna bado tunayatafutia soko la ndani.Yes na consumer wakubwa wa Matunda ni wazungu na wahindi na Midle class wabongo
Kwa miji kama Arusha na Dar soko ni kubwa sana na ndo maana Super Market zina import.Ndiyo maana matunda machache tunayovuna bado tunayatafutia soko la ndani.
Dar matunda yanauzika sehemu wanazoishi middle class, huku kwetu Kwamtogole matunda gengeni wananunua vibarua ambao hawamudu hela ya sahani ya wali/ugali kwa mama ntilie.Kwa miji kama Arusha na Dar soko ni kubwa sana na ndo maana Super Market zina import.
Pia matunda lets say Strawberry si kwamba masikini hawawezi nunua hapana wanaweza ila changamoto ni bei, lakini production ikiwa kubwa sana basi hata watu wa kipayo cha chini watamudu.
Tikitiki mbona wanamudu?
Kwa miji kama Arusha na Dar soko ni kubwa sana na ndo maana Super Market zina import.
Pia matunda lets say Strawberry si kwamba masikini hawawezi nunua hapana wanaweza ila changamoto ni bei, lakini production ikiwa kubwa sana basi hata watu wa kipayo cha chini watamudu.
Tikitiki mbona wanamudu?
Basi lete hayo maujuzi humu JF na sisi tujifunze kwani naona ni kilimo chenye pesa sana. Tufundishe CHASHA FARMING!Mimi nililima sana mkuu,
Hakuna ujuzi wa maana bali ni kuwekeza kwenye kulima mkuu ukisha lima anza kusaka soko na anza kidogo kidogo, Matunda haya yana kazi nyingi ikiwemo kutengeneza fresh juice, Freshi juice yake usipime ni balaaa, na unajua kwa sasa vibanda vya juice vina ota kama uyoga? Na wote wana tumia aina moja tu ya matunda.Basi lete hayo maujuzi humu JF na sisi tujifunze kwani naona ni kilimo chenye pesa sana. Tufundishe CHASHA FARMING!
Yes zikizalishwa kwa wingi bei ina shuka, sasa za 500 hata mimi si na mudu kabisa?Songea peramiho wanalima sana strawberries na mnunuzi wao mkubwa ni ASAS anaenda kutengenezea yoghurt , kule kwenye msimu wao hadi za miatano shilingi. Unapata
Dar ina Middle class kubwa sana kwa saaa bado hio Middle class ni soko tosha kabisaDar matunda yanauzika sehemu wanazoishi middle class, huku kwetu Kwamtogole matunda gengeni wananunua vibarua ambao hawamudu hela ya sahani ya wali/ugali kwa mama ntilie.
Kama tu kila kaya ingekula matunda kila siku, uhitaji ungekua mkubwa sana.
Yote ni kweli ila kuwekeza bila elimu ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu! Hata hivyo, kwa uzoefu wangu wa miaka mingi humu JF ni kwamba wana JF ni wagumu sana kutoa maujuzi na elimu kwa wenzao humu JF. Utakacho ambulia ni maneno ya kukatisha tamaa na kuonyesha kuwa hilo haliwezekani au utaambiwa aaah hilo ni rahisi sana! Kama majibu haya! Hii ndiyo JF, anyway, ngoja niingie kwenye mitandao nisome juu ya kilimo hiki cha matunda haya yenye BEI KALI. BYE for now!Hakuna ujuzi wa maana bali ni kuwekeza kwenye kulima mkuu ukisha lima anza kusaka soko na anza kidogo kidogo, Matunda haya yana kazi nyingi ikiwemo kutengeneza fresh juice, Freshi juice yake usipime ni balaaa, na unajua kwa sasa vibanda vya juice vina ota kama uyoga? Na wote wana tumia aina moja tu ya matunda.
Pia watu kama wahindi na wazungu wanapenda mno haya matunda