Bei ya matunda, Golden berry au Cape goosebery

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Haya matunda huwa watu wanayachukulia poa sana, haya matunda ni ghari sana kwa nchi za ulaya hasa Scandnavia countries na yanatoka South America hasa Colombia ambako ndo wazalishaji wakuu wa Golden berry.

Hapa ni bei ya Robo kilo sasa piga mara 4 kupata bei ya kilo moja.

Kama usha kunywa spareta soda ile flavour yake ni ya haya matunda.

IMG_20220330_111739.jpg

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu chasha, heshima kwako, mkuu hivi unafikiria nini kutokana na hizi fursa nyingi unazozituma humu jukwaani?, au kwa maneno mengine umeshachukua hatua gani?.

Sent from my D6616 using JamiiForums mobile app
 
Golden berry mfano nisha lima sana na nikiuza sana shida shamba nililikowa nalima lilikuwa ba mgogoro na kesi ikawa iko mahakamani sasa ikaleta shida sana nikaacha.

Pia lengo ni watu wafanye, ndo lengo kubwa sasa watu waanza kuuliza soko liko wapi nikilima,

Pia Dragon sijafikia comercial ila hope nafikia very soon
 
Huku Chugga huwa nanunua sehemu elfu 10000
Haya matunda huwa watu wanayachukulia poa sana, haya matunda ni ghari sana kwa nchi za ulaya hasa Scandnavia countries na yanatoka South America hasa Colombia ambako ndo wazalishaji wakuu wa Golden berry.

Hapa ni bei ya Robo kilo sasa piga mara 4 kupata bei ya kilo moja.

Kama usha kunywa spareta soda ile flavour yake ni ya haya matunda.

View attachment 2169616

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Haya matunda huwa watu wanayachukulia poa sana, haya matunda ni ghari sana kwa nchi za ulaya hasa Scandnavia countries na yanatoka South America hasa Colombia ambako ndo wazalishaji wakuu wa Golden berry.

Hapa ni bei ya Robo kilo sasa piga mara 4 kupata bei ya kilo moja.

Kama usha kunywa spareta soda ile flavour yake ni ya haya matunda.

View attachment 2169616

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Tanzania hayawezi kulimwa hata at small scale level? Kwani hali ya hewa ya huko South America na huku kwetu inaweza kuwa sawa tu, kwani wote ni tropical countries au siyo!?
 
Unajua kuwa kwa wabongo ulaji wa matunda si kipaumbele, ukiamka asubuhi unawaza kibarua cha kukupatia unga na maharage. Waajiri wenyewe ni Wachina, kazi ya kutwa mshahara sh 3,000.

Tunda kwa wengi ni anasa.
 
Yes na consumer wakubwa wa Matunda ni wazungu na wahindi na Midle class wabongo
 
Ndiyo maana matunda machache tunayovuna bado tunayatafutia soko la ndani.
Kwa miji kama Arusha na Dar soko ni kubwa sana na ndo maana Super Market zina import.

Pia matunda lets say Strawberry si kwamba masikini hawawezi nunua hapana wanaweza ila changamoto ni bei, lakini production ikiwa kubwa sana basi hata watu wa kipayo cha chini watamudu.

Tikitiki mbona wanamudu?
 
Dar matunda yanauzika sehemu wanazoishi middle class, huku kwetu Kwamtogole matunda gengeni wananunua vibarua ambao hawamudu hela ya sahani ya wali/ugali kwa mama ntilie.

Kama tu kila kaya ingekula matunda kila siku, uhitaji ungekua mkubwa sana.
 
Songea peramiho wanalima sana strawberries na mnunuzi wao mkubwa ni ASAS anaenda kutengenezea yoghurt , kule kwenye msimu wao hadi za miatano shilingi. Unapata
 
Basi lete hayo maujuzi humu JF na sisi tujifunze kwani naona ni kilimo chenye pesa sana. Tufundishe CHASHA FARMING!
Hakuna ujuzi wa maana bali ni kuwekeza kwenye kulima mkuu ukisha lima anza kusaka soko na anza kidogo kidogo, Matunda haya yana kazi nyingi ikiwemo kutengeneza fresh juice, Freshi juice yake usipime ni balaaa, na unajua kwa sasa vibanda vya juice vina ota kama uyoga? Na wote wana tumia aina moja tu ya matunda.

Pia watu kama wahindi na wazungu wanapenda mno haya matunda
 
Songea peramiho wanalima sana strawberries na mnunuzi wao mkubwa ni ASAS anaenda kutengenezea yoghurt , kule kwenye msimu wao hadi za miatano shilingi. Unapata
Yes zikizalishwa kwa wingi bei ina shuka, sasa za 500 hata mimi si na mudu kabisa?
 
Dar matunda yanauzika sehemu wanazoishi middle class, huku kwetu Kwamtogole matunda gengeni wananunua vibarua ambao hawamudu hela ya sahani ya wali/ugali kwa mama ntilie.

Kama tu kila kaya ingekula matunda kila siku, uhitaji ungekua mkubwa sana.
Dar ina Middle class kubwa sana kwa saaa bado hio Middle class ni soko tosha kabisa
 
Hakuna ujuzi wa maana bali ni kuwekeza kwenye kulima mkuu ukisha lima anza kusaka soko na anza kidogo kidogo, Matunda haya yana kazi nyingi ikiwemo kutengeneza fresh juice, Freshi juice yake usipime ni balaaa, na unajua kwa sasa vibanda vya juice vina ota kama uyoga? Na wote wana tumia aina moja tu ya matunda.

Pia watu kama wahindi na wazungu wanapenda mno haya matunda
Yote ni kweli ila kuwekeza bila elimu ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu! Hata hivyo, kwa uzoefu wangu wa miaka mingi humu JF ni kwamba wana JF ni wagumu sana kutoa maujuzi na elimu kwa wenzao humu JF. Utakacho ambulia ni maneno ya kukatisha tamaa na kuonyesha kuwa hilo haliwezekani au utaambiwa aaah hilo ni rahisi sana! Kama majibu haya! Hii ndiyo JF, anyway, ngoja niingie kwenye mitandao nisome juu ya kilimo hiki cha matunda haya yenye BEI KALI. BYE for now!
 
Back
Top Bottom