Bei ya matunda, Golden berry au Cape goosebery

Bei ya matunda, Golden berry au Cape goosebery

Mimi nililima sana mkuu,
kama hutojali naomba tujuze ukanda upi ni mzuri kwa kilimo cha furusadi hizo na je makadirio ya mavuno ni kiasi gani kwa ekari moja na pia ni mda gani inachukua kuanzia kupanda hadi kuvuna
 
Golden berry mfano nisha lima sana na nikiuza sana shida shamba nililikowa nalima lilikuwa ba mgogoro na kesi ikawa iko mahakamani sasa ikaleta shida sana nikaacha.

Pia lengo ni watu wafanye, ndo lengo kubwa sasa watu waanza kuuliza soko liko wapi nikilima,

Pia Dragon sijafikia comercial ila hope nafikia very soon
Dragon ni tunda pekee lenye bei kubwa kuliko matunda yote pale Shoppers Mlimani City Dragon moja ni TZS 7000 shida la hili tunda kwa hapa Tanzania ni jinsi ya kupata miche yake, ni wachache wanayo ,miche yake ni kama Cactus hivi naamini kwa hali ya hewa ya Dodoma na Singida hili zao linaweza kuwa mkombozi, pia nimeona kule Kenya kuna jamaa analima kwa wingi hii mimea ya Dragon fruit
 
Na china wanalima Sana.
 
Back
Top Bottom