Bei ya Mbaazi kwa KG ni Shilingi ngapi mwaka huu?

Bei ya Mbaazi kwa KG ni Shilingi ngapi mwaka huu?

Masasi bei ya mbaazi Tsh 400 per kg.hiyo ni bei ya mawakala hapa mjini,hivyo ukiuzia porini itakuwa chini ya hapo.
 
Masasi bei ya mbaazi Tsh 400 per kg.hiyo ni bei ya mawakala hapa mjini,hivyo ukiuzia porini itakuwa chini ya hapo.
Dah, aisee. Naona hali inazidi kuwa mbaya...kampuni bado haijaanza kununua hadi sasa...mambo si mazuri kwa kweli
 
Mbaazi bei juu, wakulima wameula sasa bei ni Tsh 2,000 hadi 2,500 kwa kilo moja.
 
Back
Top Bottom