Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Nimetembelea ukurasa wa World Bank ambako Bashe alichota bei na kuzilinganisha na mwaka huu, 2022.
Kwa maoni yangu, Waziri huyu hafai au an ufahamu mdogo. Lakini pia naona bunge likishangilia kila mtu anayetumia kelele kujidai kutetea wananchi. Hapa Bashe alitumia kelele kutetea wakulima.
Ukurasa wa WB unaonesha bei ya mbolea kwa mwaka 2008 ilikuwa kubwa kuliko leo hii 2022. Lakini bei ya leo ni kubwa mara mbili madukani, kuliko bei ya 2008! Hata ukitumia thamani ya shilingi yetu, utaona shilingi yetu imepungua kwa asilimia kama 14 tu ukilinganisha na mwaka 2008!
Angalia graph ifuatayo:
Source: Fertilizer prices expected to remain higher for longer