Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Intelligent businessmanHabari ndugu
Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi
Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama kuna mtu ana mchele mwingi na mzuri tufanye biashara
Intelligent businessmanWakijibu unitag
Ushimen Nime toka hapo mashineni juzi kuchukua wa kujaza tumbo.
LubebenamaweUshimen Nime toka hapo mashineni juzi kuchukua wa kujaza tumbo.
Bei iko hivi kwa kawaida ni 1750, 1800, 1900.
Ile super super ni 3000.
Siyo asaivi ni sasa hivi.Habari ndugu
Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi
Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama kuna mtu ana mchele mwingi na mzuri tufanye biashara
Kumbe you think tena 🤔🙄, Bei ya jumla hiyo Mzee.Sawa I think hii ni rejareja
Bei ya mchele inategemea na ubora. Kama utakuwa na uhitaji toka Ifakara karibuHabari ndugu
Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi
Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama kuna mtu ana mchele mwingi na mzuri tufanye biashara
Karibu Mbeya 1kg 2000 mchele super
Mbeya town mzeeUko mbeya sehemu gani
Maharage sh ngapi njanoMbeya town mzee
Kesho nitakupa feedback mkuuMaharage sh ngapi njano
SawaKesho nitakupa feedback mkuu
Grade 1Karibu Mbeya 1kg 2000 mchele super
Ndio karibu inbox for businessGrade 1