Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Tukiwasaidia kuongeza volume ya kununua mzigo na pembejeo zikiwa bei ya chini hawatakuwa na hasara.Huku mchele mzuri sana 1000 kwa kilo, wakulima wetu wataendelea kufa masikini tu
Kimsingi bei ya mchele kuwa kubwa mjini na ndogo vijijini ni matokeo ya gharama sio faida.