Bei ya mchele ipoje Kahama

Bei ya mchele ipoje Kahama

Huku mchele mzuri sana 1000 kwa kilo, wakulima wetu wataendelea kufa masikini tu
Tukiwasaidia kuongeza volume ya kununua mzigo na pembejeo zikiwa bei ya chini hawatakuwa na hasara.

Kimsingi bei ya mchele kuwa kubwa mjini na ndogo vijijini ni matokeo ya gharama sio faida.
 
Tukiwasaidia kuongeza volume ya kununua mzigo na pembejeo zikiwa bei ya chini hawatakuwa na hasara.

Kimsingi bei ya mchele kuwa kubwa mjini na ndogo vijijini ni matokeo ya gharama sio faida.
Ni lini hamkuwalaghai kwa maneno haya haya? Mliwasaidia?
 
Habari ndugu
Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi
Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama kuna mtu ana mchele mwingi na mzuri tufanye biashara
Karibu kwa biashara 0674353374
 
Back
Top Bottom