Bei ya mchele yapaa kilo Tsh 2,300 kutoka Tsh 2,000

Azuie Ili wewe ufurahie harafu mkulima imkate sio?

Tunayembea kwenye kauli za Jiwe,ukiona Bei ni juu kalime na wewe uje kuuza bei ya chini.

Mwisho ni kwamba chakula sio mchele pekee bali kuna viazi mihogo magimbi,mtama uwele,ulezi ,ugali nk nk so acha kukariri maisha.
 
Ni zamu yetu wakulima kulamba asali maza fungua nchi wakulima tupige noti.
 
Serikali shikilia hapo hapo,hao wapuuzi wamerundikana huko mijini wanazurura afu wanataka waishinkwa jasho la mkulima..

Yaani mkulima anunue mbolea Mfuko 160,000-200,000 ,madawa na shubiri kama zote harafu aje auze Bei unayotaka wewe? You can't be serious..

Tokeni mjini kama hamna Kazi mkalime, serikali imeamua kuwaletea kilimo cha umwagiliaji kama hamtaki endeleeni kulia mtaona moto.
 
Huyo Msomalia tuliempa Wizara yeye ana dili na Russia-Ukraine War, badala ya kuingia ground kwa Wakulima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…