The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Azuie Ili wewe ufurahie harafu mkulima imkate sio?Waziri wa kilimo tunaomba zuia nafaka kuuzwa nje ya nchi hali ni tete watu wanalia chakula hakushikiki mitaani bei ipo juu na fedha hamna, mchele awali ulikuwa ukiuzwa tsh 2000 kwa kilo kwa sasa tsh2300/= unga wa mahindi ulikuwa unauzwa tsh 800/=kwa kilo kwa sasa tsh1500/= vyote hivyo vimepanda huku pesa hamna.
Serikali iache kuziba masikio kuhusu hili njaa ndiyo inaleta matatizo kwa wananchi! Endeleeni kusema vita vya Urusi na Ukraine ndoo vimeleta majanga hayo.
Tunayembea kwenye kauli za Jiwe,ukiona Bei ni juu kalime na wewe uje kuuza bei ya chini.
Mwisho ni kwamba chakula sio mchele pekee bali kuna viazi mihogo magimbi,mtama uwele,ulezi ,ugali nk nk so acha kukariri maisha.