Fufua makaburi mkuuu.
Kuna mtu alinambia hekari moja unaweza kupata miti 600 kwa wastani.
Mti mmoja ukiuza kwa 200,000 maana yake kwa hekari anapata 120,000,000.
Assume umepiga hwkari tano tu na zimekubali vizuri.
Maana yake 120M zidisha mara tano = 6,000,000,000.
Kwa hiyo ukiwa na hekari zako 5 ukajikita na mitiki ukasubiri ndani ya miaka kadhaa basi 6bilions haukosi hasa kwa huko mbele na bei yake itakuwa imepanda.
NB : hizi ni tqarifa nimezisikia juzijuzi tu,kuna wakati wa nyuma kidogo nilisikia bei yake ina range baina ya 100,000 mpaka 150,000.
I hope kwa sasa itakuwa imepanda,ila na mimi nimesikia tu kwa wadau,sina uthibitisho wowote ule.
Lakini kila biashara ina hatari zake.