Bei ya mti mmoja aina ya Mitiki

Ni milioni mia sita siyo bilioni sita.
 
Huu mkeka ni wakampuni za hapa Tanzania au njee kwa hiyo Bei 200000 na carrent Bei ikoje
 
Naomba kufahamishwa bei ya mti mmoja aina ya mitiki...

Natanguliza shukrani wakuu.
Mitiki unastawi kwenye ardhi ya Mkoa wa Kigoma, hasa wilayanya Kakonko?

Ni wapi nakoweza kupata miche yake?
 
Nimeshasema kwamba na mimi nimesikia na haikuniingia akilini japokuwa hiyo miti ina pesa kweli.

Ila wewe unavyofahamu ni bei ngapi mkuu ?
Nnayo mitiki yenye takriban miak 10 ipo mitiki elfu 2000 ipo morogoro naitji wanunuzi 0618222527
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…