Bei ya mzani

Emoji06

Member
Joined
Jan 23, 2019
Posts
57
Reaction score
56
wana JF poleni na majukumu. napenda kujua mzani wa duka la rejareja A.K.A duka la mangi huwa inauzwa kiasi gani cha pesa???
 
H
wana JF poleni na majukumu. napenda kujua mzani wa duka la rejareja A.K.A duka la mangi huwa inauzwa kiasi gani cha pesa???
Huku kwa akina mangi unauzwa 120 ule wa mawe na 65 ule wa saa. Inauzwa ikiwa imeshapigwa chapa za tra na wakala wa vipimo we ni kuingiza dukani tu na kuanza kazi kama haupo Moshi watakusaidia wengine.
 
Kuna mizani kuanzia elfu 70 hadi laki na themanini. Fuatilia unataka mizani ya aina gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…