Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku kwa akina mangi unauzwa 120 ule wa mawe na 65 ule wa saa. Inauzwa ikiwa imeshapigwa chapa za tra na wakala wa vipimo we ni kuingiza dukani tu na kuanza kazi kama haupo Moshi watakusaidia wengine.wana JF poleni na majukumu. napenda kujua mzani wa duka la rejareja A.K.A duka la mangi huwa inauzwa kiasi gani cha pesa???