kson m
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 6,672
- 3,055
Watu wote wakiogopa changamoto, wakakimbilia ufugaji wa kitimoto changamoto ya soko nayo itasogea karibu !Bora ukafuga hata kitimoto endapo utakuwa mkiristo kuliko hao ngombe.(samahani)
usipowaogesha dawa na wao wakangatwa na kupe anayesababisha ugonjwa wa (ndagama) mwezi mmoja Ni mwingi Sana utaamka na mzoga.
wanahitaji matunzo ya Hali ya juu ili watoe faida unayoitaka wewe kinyume na hapo utakuwa umejiongezea majukumu yasiyo na msingi.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app