Watu wote wakiogopa changamoto, wakakimbilia ufugaji wa kitimoto changamoto ya soko nayo itasogea karibu !Bora ukafuga hata kitimoto endapo utakuwa mkiristo kuliko hao ngombe.(samahani)
usipowaogesha dawa na wao wakangatwa na kupe anayesababisha ugonjwa wa (ndagama) mwezi mmoja Ni mwingi Sana utaamka na mzoga.
wanahitaji matunzo ya Hali ya juu ili watoe faida unayoitaka wewe kinyume na hapo utakuwa umejiongezea majukumu yasiyo na msingi.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Sija experience lakin kitaalam lazima utoaji Wa Maziwa utapunguaNaoma promo za Ng'ombe wanaotoka kwenye maeneo yenye baridi kama Rungwe, Tukuyu, Kituro
Vipi hawa N'gombe ukiwaleta kwenye sehemu za joto kama Dsm na Mikoa ya Pwani Watakuwa productive kweli ??
Pure (wa kisasa kabisa)hawafanyi vizuri,tafuta chotara.Joto na magonjwa yanawasumbua.Naoma promo za Ng'ombe wanaotoka kwenye maeneo yenye baridi kama Rungwe, Tukuyu, Kituro
Vipi hawa N'gombe ukiwaleta kwenye sehemu za joto kama Dsm na Mikoa ya Pwani Watakuwa productive kweli ??
Wanastahimili vizuri tu ng'ombe wengi wanasafirishwa kwenda dar na tunapata mrejesho mzuri kutoka kwa wadauNaoma promo za Ng'ombe wanaotoka kwenye maeneo yenye baridi kama Rungwe, Tukuyu, Kituro
Vipi hawa N'gombe ukiwaleta kwenye sehemu za joto kama Dsm na Mikoa ya Pwani Watakuwa productive kweli ??