Bei ya Nondo na Cement ni Pasua Kichwa ukitaka kujenga jipange

Bei ya Nondo na Cement ni Pasua Kichwa ukitaka kujenga jipange

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Katika ujenzi usipojipanga unaeza kukimbia.jengo / Boma. Wanasema boma kujenga siyo kazi lakini ukumbule huwezi exeka hewani boma lazima.liwepo na liwe imara kweli kweli.

Bei ya sasa.nondo na cement ni mtihani mzito kujenga imekuwa kazi ngumu mnooo. pesa ya TZ.haina thamani kabisaa
 
Back
Top Bottom