Katika ujenzi usipojipanga unaeza kukimbia.jengo / Boma. Wanasema boma kujenga siyo kazi lakini ukumbule huwezi exeka hewani boma lazima.liwepo na liwe imara kweli kweli.
Bei ya sasa.nondo na cement ni mtihani mzito kujenga imekuwa kazi ngumu mnooo. pesa ya TZ.haina thamani kabisaa